SPECIAL RECEPTION  FOR FIRST YEAR STUDENT


Uongozi wa USCF SAUT MWANZA(UKWATA SAUT MWANZA) Unapenda kuwapongeza wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na Chuo cha Mtakatifu Agustino Behewa kuu la Mwanza
Sambamba na hilo tunapenda kuwakaribisha kujumuika pamoja nasi kumsifu na Kumwabudu Mungu wetu. Ratiba na nawaana ya kuwasiliana na Viongozi upo kwenye Tangazo hilo hapo juu.

KARIBUNI SANA AHSANTE 

Mungu akubariki