BWANA YESU ASIFIWE..........................
Tunakukaribisha kwenye semina ya neno la Mungu iliyo andaliwa na USCF-SAUT MWANZA.
Semina hiyo itafanyika Tarehe 12/11/2017 kuanzia saa nane kamili mchana (14:00) mpaka saa kumi na mbili jioni(18:00).
TITLE:UMUHIMU A KUJITAMBUA,KUTUZA UJANA,NA KUSUDI LA MUNGU NDANI YAKO
Mwijilist Devid will minister.
Venue ni M4 kwa wakaka, M3 kwa Wadada.
WOTE MNAKARIBISHWA Usipange kukosa