JIONEE TUKIO KATIKA PICHA LA BONANZA KATI YA USCF-SAUT NA USCF-BUGANDO BONANZA HILI LILIPEWA JINA "BONANZA FOR CHARITY" KWANI LILIAMBATANA NA TUKIO LA KUWASAIDIA WATOTO YATIMA. |
BONANZA HILI LILIFANYIKA KATIKA CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU AGUSTINO MWANZA KATIKA VIWANJA VYA SEMINARI. |