Mamia ya Wanafunzi wa Chuo kikuu cha mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza leo tarehe 12/3/2015 wamejitokeza katika hospital ya rufaa Bugando Mwanza kuuaga mwili wa mwanafunzi mwenzao alifariki jana  tarehe 11/3/2015. ibada ya kuuaga mwili ilifanyika nje ya jengo la kuhifadhia maiti.
ibada hii ilihudhuriwa na mkuu wa mkoa wa Mwanza Magessa Mulongo, wahadhiri wa chuo kikuu cha SAUT, Wanfunzi pamoja na Wana USCF-SAUT. Bwana Ametwaa Jina lake libarikiwe. Amen







Wanafunzi wa Chuo cha SAUT-Mwanza wakiingia katika Jengo la kuhifadhia miili.

Walioshika mataji ni  majirani zake alikuwa anaishi
Wnafunzi wa Chuo cha SAUT -Mwanza na Wana USCF-SAUT Wakisubiri kuuaga Mwili wa Marehemu Esther Mwakibete
Mkuu wa Mkoa Wa Mwanza Bwana Magessa Mulongo Akitoa Salamu za Rambi Rambi  kwa niaba ya uongozi wa serikali ya mkoa.
Mkuu wa Mkoa Wa Mwanza Bwana Magessa Mulongo Akitoa Salamu za Rambi Rambi  kwa niaba ya uongozi wa serikali ya mkoa.
Mchungaji Mlezi wa USCF-SAUT 
Add caption