Shalom watu wa Mungu.
USCF-SAUT Tunapenda kuwakaribisha katika Ibada ya kwanza katika mwaka wa masomo 2015/2016
Ibada itafanyika Chuoni SAUT kesho tarehe 8/11/2015 kwanzia saa 1:30 asubuhi katika ukumbi wa M-11.

Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu.