NEWS NEWS USCF SAUT MWANZA inayo furaha kuku taarifu kuwa jumapili hii ya tarehe 29 may 2016 kuwa hatuta kuwa na ibada ndani, Bali tutatoka nje ambapo tutaenda kusali ktk kanisa la ANGLICAN USAHARIKA WA NYEGEZI, lililopo Nyegezi mkabala na Nyegezi stand, USIKOSE kwani ushurikiano huleta umoja, GHARAMA ZA USAFIRI NI BURE, USIPANGE KUKOSA. Muda wa kukutana ni Saa moja kamili, asubuhi tutakutana M4, ndipo usafiri utatuchukua hapo.
Ibada za USCF-SAUT Live
Hot News From USCF
-
Young Life is a para-church ministry that focuses on running clubs and summer camps for high school students. They exist to introduce th...
-
Mamia ya Wanafunzi wa Chuo kikuu cha mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza leo tarehe 12/3/2015 wamejitokeza katika hospital ya rufaa Bugando Mwa...
-
“ YOU CAN NOT REVERSE TODAY!!” Today is a beautiful gift of life we have ever had, tomorrow is just a myth, a story yet to be...
-
JIONEE TUKIO KATIKA PICHA LA BONANZA KATI YA USCF-SAUT NA USCF-BUGANDO BONANZA HILI LILIPEWA JINA "BONANZA FOR CHARITY" KWANI LI...