Ni usiku wa tarehe 29 april 2016 ambao utakuwa ni usiku wa sifa, yaani kusifu na kuabudu mpaka ieweleke utakuwa ni usiku wa kuamulia, ni kumsifu na kumwabudu Mungu wetu wa mbinguni Aliye hai. usipange kukosa, Eneo ni utafanyikiia katika kanisa la KKKT NSUMBA lililopo maeneo ya Nyamalango. ni vikundi na watu binafsi mbalimbali wata hudumu na bila kusahau USCF SAUT PRAYS AND  WORSHIP TEAM. kwa wewe ulioko mbali usifadhaike, karibu ukutane na Mungu kwa njia ya kusikiliza live namna event itakavyo endeshwa. click here to listen live. www.uscfsaut.blogspot.com. Then listen Ibada za USCF live.