Tunapenda kuwajulisha kuwa Marekebisho ya Kimtandao tayari na huduma za USCF-SAUT zimerejea  tena. samahani kwa usumbufu wowote uliojitokeza wakati wa matengenezo. karibuni Sana