Wana USCF-SAUT Wakiwa katika maombi. Leo ilikuwa siku maalum ya maombezi kwa wenye shida mbalimbali.


Mtumishi wa Mungu akiwa ana hubiri

USCF-SAUT KATIKA MAOMBEZI





Mwimbaji Victoria akiwa ana msifu Mungu pamoja na Isaac

Wana USCF wakiwa wanasikiliza Ujumbe wakati mhubiri ana hubiri

Noah Mwijilist wa USCF-SAUT akiwa anatoa matangazo


Kushoto kwako mwenye tai ninkatibu wa USCF-SAUT akiwa anasikiliza mahubiri

Mtumishi wa Mungu Aliyekuwa mwenyekiti wa USCF-SAUT miaka ya nyuma. ni mmoja kati ya waanzilishi wa USCSAUT.




Mtumishi wa Mungu. aliyehubiri katika ibada hii.

Noah. Mwinjilisti wa USCF-SAUT


Waacheni watoto wadogo waje kwangu kwa maana ufalme wa Mungu ni wao. USCF-SAUT Tunawapenda watoto

Alikuwa Mwenyekiti wa USCF-SAUT miaka ya Nyuma akitoa salamu kwa kanisa

Mwimbaji akiwa anamwimbia Mungu

David Mbuguni. Mwenyekiti wa kwaya ya USCF-SAUT {Mweye suti nyeusi}


kwaya ya USCF-SAUT ikimwimbia Mungu