![]() |
| Wana USCF-SAUT Wakiwa katika maombi. Leo ilikuwa siku maalum ya maombezi kwa wenye shida mbalimbali. |
![]() |
| Mtumishi wa Mungu akiwa ana hubiri |
![]() |
| USCF-SAUT KATIKA MAOMBEZI |
![]() |
| Mwimbaji Victoria akiwa ana msifu Mungu pamoja na Isaac |
![]() |
| Wana USCF wakiwa wanasikiliza Ujumbe wakati mhubiri ana hubiri |
![]() |
| Noah Mwijilist wa USCF-SAUT akiwa anatoa matangazo |
![]() |
| Kushoto kwako mwenye tai ninkatibu wa USCF-SAUT akiwa anasikiliza mahubiri |
![]() |
| Mtumishi wa Mungu Aliyekuwa mwenyekiti wa USCF-SAUT miaka ya nyuma. ni mmoja kati ya waanzilishi wa USCSAUT. |
![]() |
| Mtumishi wa Mungu. aliyehubiri katika ibada hii. |
![]() |
| Noah. Mwinjilisti wa USCF-SAUT |
![]() |
| Waacheni watoto wadogo waje kwangu kwa maana ufalme wa Mungu ni wao. USCF-SAUT Tunawapenda watoto |
![]() |
| Alikuwa Mwenyekiti wa USCF-SAUT miaka ya Nyuma akitoa salamu kwa kanisa |
![]() |
| Mwimbaji akiwa anamwimbia Mungu |
![]() |
| David Mbuguni. Mwenyekiti wa kwaya ya USCF-SAUT {Mweye suti nyeusi} |
![]() |
| kwaya ya USCF-SAUT ikimwimbia Mungu |


























