USCF SAUT ni Umoja/ Ushirika wa Kikristo wa Wanafunzi Tanzania ujulikanao kama UKWATA kwa shule za sekondari na vyuo vya kati (colleges).:The Students which under C.C.T Churches at Saint Augustine University of Tanzania


Sex is a powerful force that can destroy if not used properly. Like atomic power, sex is the most powerful creative force given to man. When atomic power is used correctly it can create boundless energy; when it is used in the wrong way it destroys life. Sex is the same kind of powerful force. Sex is a gift from God to give us the greatest pleasure, to help in creating a deep companionship with one's spouse and for procreation of the next generation. But if you play with this powerful force outside the bounds of marriage, it destroys you and those close to you.
Sexual activity for young people arrests their psychological, social and academic development. Studies show that when young people engage in premarital sex, their academic performance declines and their social relationships with family and friends deteriorate. This is because adolescents are too immature to deal with the explosive sex drive and it tends to dominate their life.
The majority of women cannot enjoy sex outside of the bonds of marriage. The development of a fulfilling sex life needs the security and peace of the marriage bond. Premarital sex usually takes place sneaking around in hidden places dealing with the fear of being caught, the fear of pregnancy and feelings of guilt. All these (worrisome) factors undermine pleasure in premarital sex, most especially for women.
Virginity is to be given to the most important person in your life, the person you committed yourself to stay with forever in marriage. Your virginity is the most precious thing you have to give to your spouse. Once you lose it, nothing in the world can bring it back. Don't lose something so precious in a thoughtless way.
Those who engage in premarital sex run a high risk of contracting one of the many venereal diseases rampant today, as well as losing their fertility. Not just AIDS, but other common disfiguring diseases like herpes have no cure.
Some venereal diseases have no symptoms and many couples discover many years later that they became infertile because of these diseases. Infertility experts estimate that 80% of today's infertility is due to venereal diseases contracted before they married.
The best and only method that guarantees 100% against AIDS and other sexually transmitted diseases is to wait for marriage to have sex and maintain fidelity in your marriage.
Premarital sex breaks the 10 Commandments given by God. The 10 Commandments are given to man by God to make man happy. They are not outdated and they are not restrictive. If we follow these laws, we can create happy and prosperous lives. If we don't follow them, we will pay a heavy price in divorce, disease, abortions, illegitimate children and loneliness. Modern men make a big mistake when they think that they can break these eternal laws and not suffer consequences.
Premarital sex runs the risk of conceiving illegitimate children. Numerous scientific studies show that the children of single mothers suffer psychologically and are less successful socially and academically than children from intact families. Above all, children need both their father and their mother. It is wrong to risk having children who will never have their father's love, protection and care.
If you date and you don't have sex, you can forget about that relationship when you stop dating. But if you have sex with those you date and then break up, the nature of sexual involvement creates strong, often unpleasant memories for your whole life. Every relationship you break up where you had intimate relations is like a mini-divorce. The psychological difficulties of these mini-divorces does damage to your character. Later, when you are married and go to bed with your beloved spouse, these unpleasant memories will accompany you.
True love waits. If a boy or girl truly loves you, they will want the best for you. They will not want you to suffer fear of disease, unwanted pregnancy and the psychological difficulties of premarital sex. They will want to experience love with you only in the very best place of all - the love nest of marriage.


Sisi, viongozi wa dini pamoja na taasisi zinazosimamia mchakato wa uchaguzi (NEC,TAKUKURU,Polisi pamoja na Msajili wa vyama vya siasa)  tuliokutana leo tarehe 17/9/2015, tumepata nafasi ya kujadili kwa kina suala la uhuru,haki na amani kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika 25/10/2015 na wajibu wa kila mdau kuhakikisha kuwa uhuru,haki na amani vinalindwa kipindi hiki.Suala la uhuru haki na amani ni wajibu wetu sisi viongozi wa dini na watanzania wote kwa ujumla na halina mjadala.Kila mmoja achukuwe nafasi yake kulinda uhuru,haki na amani na kuweka uzalendo kwanza kuliko kutanguliza maslahi binafsi ya vyama vya siasa.
Viongozi wa dini wamepata nafasi ya kujadili na vyombo hivi masuala ya msingi kama kuhakikisha kuwa maadili ya uchaguzi yanazingatiwa kwa wote, muda wa kutangaza matokeo ya kura unazingatiwa , haki ya wananchi kupata matokeo haraka ili kuepuka fujo wakati wa kusubiri na kutangazwa kwa matokeo. Jeshi la polisi kutokutumia nguvu kupita kiasi, wajibu wa Msajili kuhakikisha vyama vyote vinapata fursa sawa na pia tumejadili suala la kutumia nyumba za ibada kama sehemu ya jukwaa la siasa.
Viongozi wa dini tumekubaliana kwa pamoja kuepuka kutumia nyumba za ibada kuonyesha ushabiki wa aina yoyote kwa chama chochote cha siasa.
Baada ya kujadili kwa kina masuala hayo viongozi wa dini wanatoa wito ufuatao;
  1. Vyombo vya habari vifanye kazi kwa ueledi bila upendeleo na pia kuhakikisha kuwa inatoa taarifa ya kutosha kuelimisha umma.
  2. Tunaishauri NEC kwenye chaguzi zijazo iweke utaratibu maalum wa kuruhusu wanafunzi wa vyuo vikuu waliojiandikisha pamoja na watu wote waliojiandikisha/watakaojiandikisha waweze kupiga kura.
  3. Tunaishauri NEC   kwenye chaguzi zijazo  siku ya kupiga kura isiwe siku ya ibada.
  4. NEC iendelee kutoa elimu ya uraia kuhusu haki ya raia kupiga kura na haki yao ya kukaa mita mia moja kusubiri matokeo yatangazwe kwa utulivu kama ambavyo NEC imehakikishia viongozi wa dini kuwa kila kituo itabandika matokeo yote (Urais,Ubunge na Udiwani)
  5. Pamoja na kutimiza wajibu wake wa msingi wa kulinda raia na mali zao Jeshi la polisi wakati huu wa uchaguzi liendelee kutimiza wajibu wake wa kusimamia amani na taratibu kwa haki bila upendeleo.
  6. Wagombea,wafuasi na wanaowanadi, wanaaswa waache mara moja lugha za matusi,vitisho,kejeli na kukashifiana vinavyoweza kuchochea fujo na kuleta uvunjifu wa amani wajikite kunadi sera za vyama vyao.
  7. Tunawahimiza wananchi kuwa makini katika kufuatilia kampeni na sera mbalimbali za wagombea, kuzipima kwa hali ya juu sera hizo, kutokuuza kadi zao za kupigia kura, kutokununuliwa na kujitokeza kwa wingi kutumia uhuru na haki yao ya kuchagua viongozi wanao wataka kwa hiari na  amani.
  8. Viongozi wa dini wanawahimiza Watanzania wote kuendelea kuombea nchi hii kuendelea kuwa taifa lililojengwa   katika misingi ya uhuru , haki na amani.
  9. Viongozi wa dini tutabaki kuwa manabii na wahubiri wa uhuru,haki na amani wakati huu , wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi
Sisi viongozi wa dini Tunawashukuru Inspekta generali wa polisi, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Msajili wa Vyama vya siasa na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU kwa ufafanuzi makini na wa kina juu ya nafasi na utayari wao wa kushirikiana na viongozi wa dini kuhakikisha uhuru, haki na amani vinaendelea nchini.Maelezo yao na mafafanuzi  yao tumeyasikia  na tutaendeleza kwa kuwa  hiki ni kikao cha mwanzo na tutaendelea kuwa na vikao vingine pamoja nao kuelekea uchaguzi mkuu ili kufuatilia utekelezaji na kuendeleza makubaliano yetu katika kuhakikisha uhuru,haki na amani.
Tamko hili limetolewa na viongozi wa dini ofisi ya Mufti Zanzibar,Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA),Makanisan ya Karismatiki Pentekoste,Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania(CPCT), Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) na kuratibiwa na Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT

Tangazo:Tunapenda kuwakaribisha First Years Students wote waliochaguliwa kujiunga na SAUT 2016, Tunawakaribisha USCF-SAUT. Pia mfumo wetu wa Kujisajili kwa njia ya mtandao tumefungua Rasmi kwa ajili ya First Years & Continues students.....Jisajili kwenye link ya Online registration.

Ibada za USCF-SAUT Live

Hot News From USCF

All News

Contact USCF-SAUT

Name

Email *

Message *

Vision & Mission

CONTACT US

About USCF-SAUT

USCF is the acronym for the ‘‘University Students' Christian Fellowship”. This fellowship in Secondary School and College in Tanzania is known as “UKWATA” SAUT is the acronym for “Saint Augustine University of Tanzania” USCF-SAUT is formed by students who come from churches which under Christian Council of Tanzania (C.C.T) that comprises the following churches

Copyright © UNIVERSITY STUDENTS CHRISTIAN FELLOWSHIP | Designed and Developed by Joel Elphas 0757 755 228
Design by WP Lift | powered NewBloggerThemes.com